Hii pambano kati ya chui na paka, sio fare hata kidogo. Umetoa penalt nje ya 18 bana. Yaan hapa ungemweka chui na mamba, dahh mtanange wake ni sawa na game ya Barcelona na Real Madrid. Hahahaaaaa
Nadhani majina ya wanyama yanapaswa kuwa katika Kiswahili.
Ili kuhifadhi Lugha ya kiswahili (Chui, mbwa mwitu, simba, viboko, vifaru, tembo, nyati).

Kingereza konki ? hko
Kiingereza nomaaaaaaaaaa
Ahsante kwa tunaenjoy saana mambo mazur