![](https://www.theviralist.com/wp-content/uploads/2020/01/Real-Ghost-caught-cctv-CameraInaogopesha-sana-Video-scary.jpg)
Asante kwa kutazama nikuombe usisahau ku subscribe ili usipitwe na Update zetu kila siku
#Matukioyakutisha #Allupdatetv #Videoscary
source
Asante kwa kutazama nikuombe usisahau ku subscribe ili usipitwe na Update zetu kila siku
#Matukioyakutisha #Allupdatetv #Videoscary
source
Comments are closed.
Waliopo kabla views 200k tujuane hapa kwa ku like
Huyu shetani au mwanga
Ha naangaika kufunga drisha kumwe wanafungua
Shindwe pepo chafu
Naogpa uck ???
Monitoring spirits
Mbona CCTV inabadl mwanga broo
Naogopa??
Aah bwan
inashtua sana
Na pia siuzur kukaa kwenye kioo muda mrefu
KM naona ya kweli
Huyo mama noma alienda kanisani na pensi
Hahahahaaahahahahahahaaha
Noma sana
M nmelpenda tu gheto la mchiz!! Ameshndwa knunua ktanda kafnga cctv???
Misitudanganye izo Ni movie
Mim nakuomba uprove sauti yako katk kutangaza kwa kweli haivutiii ila nakubali kaz yako
Wasenge nyie Ndo Mnatutisha hamna kitu
Uongo
Mtup
Huu ni mtu amejipaka chokaa hamna shetani
I don't trust youtubers, they are here to waste people's time to get revenue from ads viewed, if you happen to see ghost then you bought Jin they are fighting you. From 254.
Msidanganye watu. Hakuna mtu amewahi kumuona shetani kwa umbo lake kama ilivyo tu kwa Mungu. Ni kwa sbb shetani ni roho na kama alivyo Mungu. Roho hazina maumbo na hazionekani kwa macho wala kwa camera za CCTV. Kwa kuwa ni roho, hutafuta umbo lolote iwe mnyama, mtu, mti nk na kulitumia ili kutenda kazi zinazotaka kutenda. Roho zinadhirika kwa matokeo (impacts) yake!!
Wabongo nasisi maneno mengi, uchawi sisi wabongo ndo tunaongoza kudadeki, lakini tunajikuta tunakataa hii video sio kweli, but actually hii video ni ukweli mtupu, hakuna edit hata kidogo. Tumwombe mungu tu atuepushe nayo hayo